Watoto wote nchini Afrika Kusini wana haki – iwe ni wa Afrika Kusini au la!
Watoto wa kigeni huku Afrika Kusini wana haki fulani, kama marafiki wao wa Afrika Kusini. Wanapaswa kuwa na uwezo wa:
Cheti cha kuzaliwa
Nyaraka (makaratasi)
Shule
Hospitali
Hii inaweza kuwa ngumu wakati mwingine. Ikiwa mtoto wako ana shida kupata huduma hizi, tuko hapa kukupa ushauri wa bure.